| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Bersekutu Bertambah Mutu ("Umoja ni nguvu") | |||||
Wimbo wa taifa: "Negaraku" | |||||
Mji mkuu | Kuala Lumpur1 | ||||
Mji mkubwa nchini | Kuala Lumpur | ||||
Lugha rasmi | Kimalay | ||||
Serikali Yang di-Pertuan Agong (Mtawala Mkuu)
Waziri Mkuu |
Shirikisho, Ufalme Abdullah al-Haj Ismail Sabri Yaakob | ||||
Uhuru kutoka Uingereza (Shirikisho la Kimalay pekee) Shirikisho (na Sabah, Sarawak na Singapore2) |
31 Agosti 1957 16 Septemba 1963 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
330,803 km² (ya 67) 0.3 | ||||
Idadi ya watu - 2019 kadirio - 2010 sensa - Msongamano wa watu |
32,772,100 (ya 42) 28,334,135 92/km² (ya 116) | ||||
Fedha | Ringgit (RM) (MYR )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
MST (UTC+8) -- (UTC+8) | ||||
Intaneti TLD | .my | ||||
Kodi ya simu | +60
| ||||
1 Putrajaya ni makao makuu ya serikali 2 Singapore ilikuwa nchi ya pekee tar. 9 Agosti 1965. |
Malaysia ni nchi ya Asia ya kusini-mashariki kando ya Bahari ya Kusini ya China.
Ina sehemu mbili ambazo ni:
Upande wa rasi Malaysia imepakana na Uthai na Singapore. Sehemu ya Borneo imepakana na Brunei na Indonesia.
Kisiasa Malaysia ni shirikisho la majimbo 13 na maeneo ya shirikisho 3.