Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Maporomoko ya maji

Kwa matumizi mengine ya jina angalia maporomoko

Maporomoko ya maji: mabadiliko yake kama yanatelemka penye mwamba mgumu juu na laini chini; maji kwenye dimbwi ya chini hukizingia na kuharakisha mmomonyoko
Maporomoko ya Viktoria mpakani wa Zambia na Zimbabwe ni kati ya maporomoko mazuri na mashuhuri zaidi duniani
Maporomoko ya Niagara huko Marekani

Maporomoko ya maji ni mahali ambako maji yanatelemka juu ya kona kwenye mtelemko na kuelekea chini. Kwa kawaida ni sehemu ya njia ya mto au kijito pale ambako maji yanatelemka juu ya ukingo wa mwamba. Lakini inaweza kutokea pia kwenye ukingo wa barafuto pale ambako maji ya myeyuko yanatelemka.


Previous Page Next Page






Waterval AF Cascas AMI Salto d'augua AN شلال Arabic Catarata AST Şəlalə AZ شلاله AZB Шарлауыҡ BA Grobogan BAN Sampuran BBC

Responsive image

Responsive image