Marehemu (kutoka Kiarabu) ni namna ya kumtaja mtu aliyefariki dunia kwa mtazamo wa imani wa kwamba anahitaji rehema ya Mwenyezi Mungu kwa maisha ya ahera.
Ni tofauti na maiti ambayo ni mwili wake unaokwenda kuzikwa.
Dini mbalimbali zina taratibu za kumuombea pia wakati huo na baadaye.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |