Marilyn Monroe | |
---|---|
![]() Marilyn Monroe, mnamo 1953. | |
Amezaliwa | Norma Jeane Mortenson Juni 1, 1926 Los Angeles, California, Marekani |
Amekufa | 4 Agosti 1962 (umri 36) Los Angeles, California, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1945-1962 |
Ndoa | James Dougherty (1942-1946) Joe DiMaggio (1954-1955) Arthur Miller (1956-1961) |
[marilynmonroe.com Tovuti rasmi] |
Marilyn Monroe (1 Juni 1926 – 5 Agosti 1962) alikuwa mwigizaji wa filamu, mwimbaji na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alikuwa miongoni mwa nyota wa filamu maarufu kati ya mwaka 1950 na 1960.