Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Mchezo

Kuvuta kamba ni mchezo rahisi usiohitaji maandalizi wala vifaa vingi.
Wachezakarata, mchoro wa mwaka 1895, kazi ya Paul Cézanne.

Mchezo ni shughuli iliyopangwa hasa kama burudani na inayotumika pengine kwa lengo la malezi na la afya.[1]

Mchezo ni tofauti na kazi, inayofanyika kwa kawaida ili kupata malipo, na vilevile na sanaa, ambayo inalenga zaidi kutokeza uzuri au ujumbe fulani. Hata hivyo tofauti hizo si wazi kila mara, maana mambo hayo yanaweza kuchanganyikana katika tukio moja, ambalo linapendeza kwa uzuri, linaburudisha, linalea na kuleta malipo papo hapo.

Ushahidi wa kwanza wa michezo ni wa mwaka 2600 hivi KK[2][3] na kwa sasa baadhi yake imeenea duniani kote[4]

  1. http://www.merriam-webster.com/dictionary/game
  2. Soubeyrand, Catherine (2000). "The Royal Game of Ur". The Game Cabinet. Iliwekwa mnamo 2008-10-05. {{cite web}}: External link in |publisher= (help)
  3. Green, William (2008-06-19). "Big Game Hunter". 2008 Summer Journey. Time. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-22. Iliwekwa mnamo 2008-10-05.
  4. "History of Games". MacGregor Historic Games. 2006. Iliwekwa mnamo 2008-10-05. {{cite web}}: External link in |publisher= (help)

Previous Page Next Page






Spel AF Spiel ALS ጨዋታዎች AM Chuego AN لعب Arabic Xuegu AST Oyun AZ اویون AZB Уйын BA Žaidėms BAT-SMG

Responsive image

Responsive image