Milima ya Balkani iko Ulaya, kati ya nchi za Bulgaria na Serbia.
Urefu wake ni mita 2,376 juu ya usawa wa bahari.