Mkarafuu (Syzygium aromaticum) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mikarafuu
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mkarafuu (Syzygium aromaticum) ni mti wa familia Myrtaceae. Macho ya maua yake yaliyokauka huitwa karafuu na kutumika kwa kiungo katika aina nyingi za chakula. Vikonyo vya maua huitwa makonyo na hutumika kama mbadala rahisi wa karafuu.