Mkoa wa Gitega ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 675,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,979 km².
Mji mkuu ni Gitega.