Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Mlima Kimhandu

Mandhari ya milima ya Uluguru.

Mlima Kimhandu (au Kimhondu) ni mmoja katika Milima ya Uluguru, safu ya milima katika Tanzania mashariki, km 200 hivi kutoka Bahari ya Hindi. Ni sehemu ya Milima ya Tao la Mashariki (pamoja na Milima ya Taita nchini Kenya, Milima ya Upare, Milima ya Usambara, Milima ya Unguu, Milima ya Rubeho, Milima ya Ukaguru, Milima ya Udzungwa, Milima ya Uvidunda na Milima ya Mahenge).

Pamoja na mlima Mtingire ni mrefu kuliko yoke, ukiwa na kimo cha mita 2650 juu ya usawa wa bahari[1].

  1. "Uluguru". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-28. Iliwekwa mnamo 2018-03-05.

Previous Page Next Page






Kimhondu CEB Kimhondu German

Responsive image

Responsive image