Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Mlipuko

tani za mabomu.
Milipuko ya petroli, ikilinganishwa na matone ya bomu kwenye ndege.
Moshi mweusi kutoka kwa mlipuko unaongezeka baada ya kupoteza bomu ndani ya nje Nahr al-Bared, Lebanoni.

Mlipuko ni tukio la kuachishwa kwa ghafla kwa kiwango kikubwa cha nishati ya joto, shinikizo au mwendo na kuongezeka kwa mjao. Tukio hili linaweza kusababishwa na mchakato wa kikemia (kama kuwaka kwa kipulikaji au mchanganyiko wa hewa na mafuta), wa kifizikia (kama ongezeko wa halijoto ya gesi ndani ya chombo kilichofungwa hadi kupasua kwa chombo).

Matukio mengi ya asili yanaweza kufanya milipuko, kama vile ongezeko la ghafla la nishati sehemu inayopigwa na radi , mlipuko wa volkano, mlipuko wa kimondo n.k.

Watu hufanya mlipuko kwa kutumia vifaa vya kikemikali kama vile mafuta na petroli katika injini ya mwako ndani au kwa kutumia vilipukaji kwa kusudi za kubomoa (katika ujenzi) au kama silaha (k.m. bomu) n.k.


Previous Page Next Page






انفجار Arabic Esplosión AST Partlayış AZ Выбух BE Взрив Bulgarian Eksplozija BS Explosió Catalan تەقینەوە CKB Výbuch Czech Сирпĕнӳ CV

Responsive image

Responsive image