- kuna minara ya maji inayobeba tangi kubwa ya maji katika maeneo pasipo milima kwa kusudio la kuwa na shindikizo la kudumu kwa ajili ya maji ya bomba
- aina mbalimbali zimejengwa kwa ajili ya kusudio maalamu kama vile mnara ambako walinzi moto hukausha mipira ya maji, minara ya parachuti ambako wanafunzi wanafanya mazoezi ya kwanza, minara ya kubeba madaraja na mengine
minara nyingi za kihistoria ina kusudi la ulinzi na usalama kwa mfani minara mingi ya ukuta wa China.
Mnara wa kihistoria unaojulikana zaidi ni mnara wa Babeli unaotajwa katika Biblia (kitabu cha Mwanzo 11). Wataalamu wengi huona ilikuwa aina ya zigurat yaani jengo kubwa lililounganisha tabia za mnara na piramidi.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mnara kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.