| |||||
Kaulimbiu ya taifa: | |||||
Wimbo wa taifa: Limba noastră (Kiromania) "Lugha yetu") | |||||
Mji mkuu | Kishineu | ||||
Mji mkubwa nchini | Kishineu | ||||
Lugha rasmi | Kiromania--> | ||||
Serikali | Jamhuri, Serikali ya Kibunge Maia Sandu Natalia Gavrilița | ||||
Uhuru Tarehe Imekamilika |
27 Agosti 1991 25 Desemba 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
33,843 km² (ya 139) 1.4 | ||||
Idadi ya watu - Jan 2014 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
3,557,6002 (ya 1333) 3,383,3322 105/km² (ya 81) | ||||
Fedha | Moldovan leu (MDL )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EET (UTC+2) EEST (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .md | ||||
Kodi ya simu | +373
- | ||||
1 Lugha ya "Kimoldova" ni lugha ileile ya Kiromania. 2Transnistria na Tighina hazimo. 3 |
Moldova ni nchi ya Ulaya ya Mashariki.
Inapakana na Ukraina na Romania.
Eneo lake ni la km2 33,843, ingawa Transnistria imejitenga kwa msaada wa Urusi.