Monte Amaro (au Majella) ni mlima wa Apenini katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).
Urefu wake ni mita 2,793 juu ya usawa wa bahari.