Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Montenegro

Република Црна Гора
Republika Crna Gora

Jamhuri ya Montenegro
Bendera ya Montenegro Nembo ya Montenegro
Bendera Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
Wimbo wa taifa: Oj, svijetla majska zoro
"Ewe pambazuko la Mei"
Lokeshen ya Montenegro
Mji mkuu Podgorica
42°47′ N 19°28′ E
Mji mkubwa nchini Podgorica
Lugha rasmi Kimontenegro, lahaja ya Kiserbokroatia; lugha nyingine 4 ni rasmi kieneo
Serikali Jamhuri
Milo Đukanović
Zdravko Krivokapić
Uhuru
Ilitangazwa
Ilitambuliwa
3 Juni 2006
8 Juni 2006
Eneo
 - Jumla
 - Maji (%)
 
13,812 km² (ya 159)
1.5
Idadi ya watu
 - 2004 kadirio
 - 2011 sensa
 - Msongamano wa watu
 
630,548 (ya 164)
778,987
45/km² (ya 121)
Fedha Euro2 (EUR)
Saa za eneo
 - Kiangazi (DST)
CET (UTC+1)
CEST (UTC+2)
Intaneti TLD .me
Kodi ya simu ++382
1 kikatiba.
2 Montenegro si nchi mwanachama wa mkataba wa Euro.


Ramani ya Montenegro

Montenegro (yaani Mlima mweusi kwa lugha ya Kiitalia; kwa Kimontenegro: Црна Гора au Crna Gora) ni nchi ndogo ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani.

Ina pwani ya Mediteranea na inapakana na Albania, Kosovo, Kroatia, Serbia, Bosnia na Herzegovina na Masedonia.

Mji mkuu ni Podgorica

Nchi ni mwanachama wa Umoja wa Mataifa na inatarajia kujiunga na Umoja wa Ulaya.


Previous Page Next Page






Черногориа AB Monténègrô ACE Черногорие ADY Montenegro AF Montenegro ALS ሞንቴኔግሮ AM Montenegro AMI Montenegro AN Sweartbeorg ANG Mọntinegiro ANN

Responsive image

Responsive image