Montgomery, Alabama | |||
| |||
Mahali pa mji wa Montgomery katika Marekani |
|||
Majiranukta: 30°41′40″N 88°02′35″W / 30.69444°N 88.04306°W | |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Alabama | ||
Kitongoji | Montgomery | ||
Idadi ya wakazi (2006) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 201,998 | ||
Tovuti: www.MontgomeryAL.gov |
Montgomery ni mji mkuu wa jimbo la Alabama katika Marekani. Mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi wanaoishi hapa ilikuwa 201,568.