Kwa rangi na misimbo/majina yao angalia Rangi
Katika matini ya kawaida hatutakiwi kutumia rangi tofauti kwa ajii za herufi au vichwa. Lakini tunaweza kutumia rangi tofauti katika jedwali, vigezo na kurasa za msaada.
Kuhusu majina ya rangi na misimbo (codes) zao angalia makala: Rangi.
Kwa majina mengine na misimbo yao unayoweza kutumia katika kazi ya kuhariri ona makala ya Kiingereza en:Web_colors.
Ukitaka kutumia rangi kwenye kigezo au jedwali unaweza kutumia msimbo wake (mfano nyekundu ni "#F5051c") au majina ya rangi ya HTML kwa Kiingereza( mfano "<red>red").
Ukitaka kutumia rangi kwenye Kigezo au jedwali unaweza kutumia msimbo wake (mfano nyekundu ni "#F5051c") au majina ya rangi ya HTML kwa Kiingereza( mfano "red"). Unahitaji kutumia msimbo au jina pamoja na alama nyingine ili kuunda amri kwa programu ya ukurasa.