Mto Luhombero ni mto wa Tanzania, tawimto wa mto Kilombero, unaotiririka hadi kuungana na mto Luwegu kuunda mto Rufiji ambao unaishia katika Bahari Hindi.