6°02′36″S 38°46′48″E / 6.04333°S 38.78000°E / -6.04333; 38.78000
Mto Mvavi (pia: Mvave) ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki).
Maji yake yanaelekea Bahari Hindi. Unaishia baharini kwenye kijiji cha Saadani katika wilaya ya Bagamoyo.