Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Mtunzi wa nyimbo

Mtunzi wa nyimbo ni mtu anayebuni nyimbo. Mtunzi wa nyimbo kwa ujumla hutunga nyimbo za pop, kuliko nyimbo za kawaida au muziki wa classic. Watunzi waliowengi pia ni waimbaji, na wanazifanyia kazi nyimbo zao na kutunga pia. Kuna watunzi wengine nyimbo huimbwa na waimbaji wengine na sio wao wenyewe.


Previous Page Next Page