Nane ni namba ambayo inafuata saba na kutangulia tisa. Kwa kawaida inaandikwa 8 lakini VIII kwa namba za Kiroma na ۸ kwa zile za Kiarabu.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 2 (au 23).