Nanga Parbat ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,125 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.
Kilele chake kipo katika nchi ya Pakistan.