Neil Armstrong (5 Agosti 1930 — 25 Agosti 2012) alikuwa rubani mwanaanga wa Marekani aliyeshuka mwezini mwaka 1969, wa kwanza kabisa kati ya wanadamu wote.