Nguvu
Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Nguvu
Miundombinu ya kupitisha Nguvu ya umeme
Nguvu
ni uwezo wa kusababisha jambo fulani.
Kwa mfano,
katika
kiumbehai
ni
uwezo
wa kosogea, kuinua
vitu
n.k.
katika
jinsia
mara nyingi ni
sifa
inayopatikana zaidi katika ile
ya kiume
kuliko ile
ya kike
katika
siasa
ni
mamlaka
ya kuamua na kuagiza
katika
fizikia
ni msukumo au mgongano wa vitu ambao unatoa
nishati
na unaitwa
kani
katika
uchumi
ni
rasilimali
au
fedha
za
mtu
katika
elimu jamii
ni
tunda
la
mshikamano
wa watu au
taasisi
katika
maadili
ni
mojawapo
ya
maadili bawaba
katika
dini
ni hasa uweza wa
Mungu
ambao unasisitizwa kwa kumuita
Mwenyezi Mungu
, yaani Mweza yote.
Makala bado ni
mbegu
. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuongezea habari
.
o
m
h
Previous Page
Next Page
Fuerza (filosofía)
Spanish
Force (philosophie)
French
Forza (filosofia)
Italian