Nusukipenyo au rediasi ni mstari unaonyoka kati ya kitovu cha duara na mzingo wake. Ni nusu ya urefu wa kipenyo.
Uhusiano kati ya mzingo na rediasi ni r = m 2 π {\displaystyle r={\frac {m}{2\pi }}}