Majengo ya Odessa.
Ramani ya Odessa katika Ukraini.
Odessa [1] (kwa Kiukraine: Оде́са) ni jiji na bandari muhimu kusini magharibi mwa Ukraini. Ni makao makuu ya Mkoa wa Odessa. Jiji hilo liko kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi.
Idadi ya wakazi ilihesabiwa kuwa 1,016,000 mwaka 2021[2].
- ↑ "Resolution no. 55 of the Cabinet of Ministers of Ukraine, January 27, 2010". zakon2.rada.gov.ua (kwa ukr). Iliwekwa mnamo 2017-04-15.
{{cite web}}
: CS1 maint: unrecognized language (link)
- ↑ "Чисельність наявного населення України (Actual population of Ukraine)" (PDF) (Kiukraini). "State Statistics Service of Ukraine." 11 Juli 2021.