Papa Adrian I alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/9 Februari 772 hadi kifo chake tarehe 25 Desemba 795[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina la baba yake lilikuwa Theodorus.
Alimfuata Papa Stefano III akafuatwa na Papa Leo III.