Papa Agapeto II alikuwa Papa kuanzia tarehe 10 Mei 946 hadi kifo chake mnamo Desemba 955[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Marinus II akafuatwa na Papa Yohane XII.