Papa Sabinian alikuwa Papa kuanzia mwezi Machi au tarehe 13 Septemba 604 hadi kifo chake tarehe 22 Februari 606[1]. Alitokea Blera, Toscana, Italia[2].
Alimfuata Papa Gregori I akafuatwa na Papa Boniface III.