Pembe za ndovu ni meno yalioendelea na kuongezeka mbele na mara nyingi hupatikana zaidi katika vinywa vya mamalia, hasa tembo, lakini pia kifaru n.k.[1][2]
Bei ya pembe hizo ni kubwa hivi kwamba imechangia sana kufanya watu wajiingize katika ujangili na hatimaye kupunguza vibaya idadi ya wanyama hao, pengine kiasi cha kuhatarisha spishi nzima. Ndiyo sababu biashara ya pembe hizo imebanwa sana na Umoja wa Mataifa na nchi mbalimbali.
{{cite journal}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)