Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Portland, Oregon

Mji wa Portland, Oregon





Portland

Bendera
Portland is located in Marekani
Portland
Portland

Mahali pa mji wa Portland katika Mareani

Majiranukta: 45°31′12″N 122°40′55″W / 45.52000°N 122.68194°W / 45.52000; -122.68194
Nchi Marekani
Jimbo Oregon
Wilaya Multnomah
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 575,930
Tovuti:  http://www.portlandonline.com/

Portland ni mji wa Marekani katika jimbo la Oregon. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 2.2 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 15 kutoka juu ya usawa wa bahari.


Previous Page Next Page