Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Ringo Starr
Richard Starkey (alizaliwa 7 Julai 1940), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii kama Ringo Starr, ni mwanamuziki wa Kiingereza. Alikuwa sogora na The Beatles.