Castorimorpha (Wanyama kama panyabuku) Myomorpha (Wanyama kama panya) Anomaluromorpha (Wanyama kama kamendegere) Hystricomorpha (Wanyama kama nungunungu)
Rodentia ni jina la Kisayansi la oda ya panya, vipanya, mabuku, biva, panyabuku, kindi na mafuko. Kwa Kiswahili huitwa wagugunaji.