Ronald Wilson Reagan | |
Aliingia ofisini Januari 20, 1981 | |
Makamu wa Rais | George H. W. Bush |
mtangulizi | Jimmy Carter |
aliyemfuata | George H. W. Bush |
tarehe ya kuzaliwa | |
tarehe ya kufa | Juni 5, 2004 (umri 93) |
chama | Republican |
ndoa |
|
watoto | 5 |
mhitimu wa | Eureka College |
signature |
Ronald Wilson Reagan (6 Februari 1911 – 5 Juni 2004) alikuwa Rais wa 40 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1981 hadi 1989. Kaimu Rais wake alikuwa George H. Bush.