Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Ruhuhu

Ruhuhu ni kata ya Wilaya ya Ludewa katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 59424.

Kata ya Ruhuhu inaundwa na vijiji vitatu ambavyo ni Ngelenge, Ilela na Kipingu.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 4,677 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,821 [2] walioishi humo.

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 210
  2. "Sensa ya 2012, Njombe - Ludewa DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-16.

Previous Page Next Page






Ruhuhu CEB Ruhuhu Italian

Responsive image

Responsive image