6°02′36″S 38°46′48″E / 6.04333°S 38.78000°E
Saadani | |
Mahali pa Saadani katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°2′40″S 38°46′38″E / 6.04444°S 38.77722°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa wa Pwani | |
Wilaya ya Bagamoyo | Kata ya Mkange |
Saadani ni kijiji cha kata ya Mkange upande wa kaskazini wa Bagamoyo katika eneo la Hifadhi ya Taifa ya Saadani. Iko kwa mdomo wa Mto Mvavi (Mvave) kwenye ufuko wa Bahari Hindi.