| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Country Above Self - Nchi mbele ya nafsi ! | |||||
Wimbo wa taifa: "O Land of Beauty!" Wimbo wa Kifalme: "God Save the King" | |||||
Mji mkuu | Basseterre | ||||
Mji mkubwa nchini | Basseterre | ||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Serikali | Demokrasia Nchi ya jumuiya ya madola Charles III wa Uingereza Dame Marcella Liburd Dr. Terrance Drew | ||||
Uhuru Tarehe |
19 Septemba 1983 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
261 km² (ya 207) kidogo sana | ||||
Idadi ya watu - [[2015]] kadirio - [[2001|2001]] sensa - Msongamano wa watu |
54,961 (ya 209) 46,325 164/km² (ya 64) | ||||
Fedha | East Caribbean dollar (XCD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-4) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .kn | ||||
Kodi ya simu | +1-869
- |
Saint Kitts na Nevis ni nchi ya visiwani kwenye visiwa viwili vya Bahari ya Karibi na nchi ndogo kabisa ya Amerika yote.
Mji mkuu wa Basseterre uko kwenye kisiwa cha Saint Kitts. Kisiwa kidogo cha Nevis (kutoka jina la zamani la Kihispania: Nuestra Señora de las Nieves) kipo km 3 kusini-mashariki kwa Saint Kitts.
Zamani pia kisiwa cha Anguilla kiliunganishwa na visiwa hivi kuwa koloni moja la Uingereza.