Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Sam Mostyn
Samantha Joy Mostyn (alizaliwa 1964, anajulikana kama Sam Mostyn) Ni mtetezi wa mabadiliko ya hali ya hewa na usawa wa kijinsia, ni mwanamke wa kwanza kuwa kamishna wa AFL. Kufikia mwaka 2021, Mostyn ni rais wa Chief Executive Women. Yeye ni mwanachama wa bodi kadhaa, ikiwa ni pamoja na The Climate Council, GO Foundation, Mirvac, Transurban, Virgin Australia na The Sydney Swans. Tuzo ya Mostyn, kwa wanawake bora katika AFL, imetajwa kwa jina lake.[1][2][3][4][5]
↑"Sam Mostyn". ANROWS - Australia's National Research Organisation for Women's Safety (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-26. Iliwekwa mnamo 2021-11-26.