![]() Santo Domingo ya kihistoria (Kanisa Kuu) | |
Utawala | Wilaya ya Kitaifa (Distrito Nacional) |
Anwani ya kijiografia | Latitudo: 18°30′N - Longitudo: 69°59′W |
Kimo | 14 m juu ya UB |
Eneo | - 80 km² |
Wakazi | - mji: 913,540 (2001) - rundiko la mji: 2,500,000 |
Msongamano wa watu | watu 1,141 kwa km² |
Simu | +1809 (nchi yote) |
Mahali | |
![]() ![]() |
Santo Domingo ni mji mkuu wa Jamhuri ya Dominikana. Ni kati ya miji ya kale kabisa ya Karibi: ilikuwa mji wa kwanza ulioanzishwa na Wahispania katika Amerika. Kuna majengo ya kwanza ya historia ya kikoloni katika Amerika yote yaani kanisa la kwanza, chuo kikuu cha kwanza na hospitali ya kwanza.
Idadi ya wakazi ni mnamo milioni mbili.
Wakati wa udikteta wa Rafael Trujillo mji uliitwa "Ciudad Trijillo" (mji wa Trujillo) kati ya miaka 1936 hadi 1961.