Sitini na tano ni namba inayoandikwa 65 kwa tarakimu za kawaida na LXV kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 64 na kutangulia 66.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 5 x 13.