| |||||
Lugha rasmi | Kiswahili Kiingereza | ||||
Mji Mkuu | Juba | ||||
Mji Mkubwa | Juba | ||||
Serikali | Jamhuri | ||||
Rais | Salva Kiir Mayardit | ||||
Eneo | km² 619,745 | ||||
Idadi ya wakazi | 10,975,927 (2018) | ||||
Wakazi kwa km² | 18 | ||||
Uchumi nominal | Bilioni $3.194 | ||||
Uchumi kwa kipimo cha umma | $246 | ||||
Pesa | Pauni ya Sudan Kusini | ||||
Kaulimbiu | "Haki, Uhuru, Mafanikio" | ||||
Wimbo wa Taifa | South Sudan Oyee! | ||||
Saa za Eneo | UTC +3 (Wakati wa Afrika Mashariki) | ||||
Mtandao | .ss | ||||
Kodi ya Simu | +211 |
Sudan Kusini (jina rasmi: Jamhuri ya Sudan Kusini) ni nchi huru iliyojitenga rasmi na Sudan tarehe 9 Julai 2011, ikiwa ni ya 54 katika bara la Afrika na ya 193 duniani.