Sukari (kutoka Kar. سكر sukkar, iliyotoka kwenye Sanskrit sharkara) ni dutu tamu inayoungwa katika chakula na vinywaji kwa kusudi la kuzinogesha.