Sumatra ni kisiwa cha Indonesia. Kiko upande wa kusini wa bara la nchi ya Malaysia. Eneo la kisiwa ni 480,847 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Medan. Mwaka wa 2010 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 50,365,538. Watu wakaao kisiwani kwa Sumatra huongea lugha mbalimbali, idadi yake zaidi ya hamsini, hasa Kimalay na lugha nyinginezo.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|