Sehemu ya mfululizo wa makala juu ya |
Imani na ibada zake |
Umoja wa Mungu |
Waislamu muhimu |
Abu Bakr • Ali |
Maandiko na Sheria |
Qur'an • Sunnah • Hadithi |
Historia ya Uislamu |
Historia |
Tamaduni za Kiislamu |
Shule • Madrasa |
Tazama pia |
Sunna (pia sunnah, kutoka Kiarabu : سنة, neno linalomaanisha "mila", "mapokeo" au "njia". [1]) Kwa Waislamu, Sunnah inamaanisha "njia ya mtume Muhammad"[2].
Wasomi Waislamu wanajifunza juu ya Sunna kwa kusoma hadithi elfu kadhaa juu ya Muhammad, familia yake, na wafuasi wake wa kwanza. Haditho hizi zinaitwa Hadith.
Jina la dhehebu kubwa katika Uislamu ni Wasunni, nalo limetokana na neno sunna, kwa maana ni waumini wanaolenga kufuata sunna ya mtume wao.