Sydney | |
Majiranukta: 33°51′35″S 151°12′40″E / 33.85972°S 151.21111°E | |
Majiranukta: 33°51′35.9″S 151°12′40″E / 33.859972°S 151.21111°E | |
AEST | (UTC) |
---|
Sydney ni mji wa pwani ya mashariki katika nchi ya Australia. Sydney ni mji mkubwa wa New South Wales. Takribani watu milioni 4 wanaishi katika mji wa Sydney na ndio mji mkubwa kabisa nchini Australia.
Mji uligunduliwa mwaka 1788 na Arthur Phillip, aliyekuwa ofisa wa Navy Royal ya Uingereza, na mji ukawa kama sehemu ya wafungwa wa Kiingereza na Kiayalendi.
The Rocks, ni sehemu mojawapo katika mji wa Sydney, ndio ilikuwa sehemu ya kwanza kuwa mji wenye mvuto katika Australia. Sasa imekuwa sehemu yenye mandhari nzuri ya bandari na ni sehemu pa kujipatia kula yaani kuna mgahawa mkubwa.