Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Tarakimu
Tarakimu au namba za Kiarabu, kwa maandishi ya KilatiniMabadiliko ya umbo la tarakimu za Kiarabu asilia hadi kufikia umbo la tarakimu za kimataifaTarakimu za Maya, wenyeji asilia wa Meksiko
Tarakimu (kutoka Kiarabu رقم raqm) au numerali (kutoka Kilatininumerus, kupitia Kiingerezanumeral) ni alama za kimaandishi zinazotumiwa kuandika namba.