Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.

Responsive image


Tarime

Mji Mdogo wa Tarime
Mji Mdogo wa Tarime is located in Tanzania
Mji Mdogo wa Tarime
Mji Mdogo wa Tarime

Mahali pa Tarime katika Tanzania

Majiranukta: 1°20′32″S 34°22′48″E / 1.34222°S 34.38000°E / -1.34222; 34.38000
Nchi Tanzania
Mkoa Mara
Wilaya Tarime
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 33,431
Tarime

Tarime ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Tarime katika Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Tarime ilihesabiwa kuwa 29,339 [1].

Mwaka 2012 kata ya Tarime Mjini iligawiwa kuwa kata za Bomani, Sabasaba na Nyamisangura.

  1. "Matokeo ya sensa ya 2002". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-20. Iliwekwa mnamo 2004-03-20.

Previous Page Next Page






Tarime (Stadt) German Ταρίμε Greek Tarime English Tarime Romanian

Responsive image

Responsive image