Our website is made possible by displaying online advertisements to our visitors.
Please consider supporting us by disabling your ad blocker.
Tasmania
Tasmanian Devil,alama ya mnyama wa serikali ya TasmaniaTasmania katika AustraliaBandari ya Hobart
Tasmania ni kisiwa kikubwa upande wa kusini wa Australia bara ni jimbo la Australia lenye eno la 90,758 km². Mji mkuu pia mji mkubwa kisiwani ni Hobart.