Theodosius II (10 Aprili, 401 – 28 Julai, 450) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Mashariki kuanzia 1 Mei, 408 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Arkadius.