Thomas Jefferson | |
![]() | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1801 – Machi 4, 1809 | |
Makamu wa Rais | Aaron Burr (1801–1805) George Clinton (1805–1809) |
mtangulizi | John Adams |
aliyemfuata | James Madison |
tarehe ya kuzaliwa | Shadwell, Colony of Virginia, British America | Aprili 13, 1743
tarehe ya kufa | 4 Julai 1826 (umri 83) Charlottesville, Virginia, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Monticello, Virginia, Marekani |
chama | Democratic-Republican |
ndoa | Martha Wayles (m. 1772–1782) |
watoto | 11 |
mhitimu wa | College of William & Mary (Bachelor of Arts) |
signature | ![]() |
Thomas Jefferson (2 Aprili 1743 – 4 Julai 1826) alikuwa Rais wa tatu wa Marekani kuanzia mwaka wa 1801 hadi 1809.
Pia alikuwa mwandishi wa katiba ya Marekani aliyetumia nadharia ya John Locke na kupanga hoja za kupinga Marekani kuendelea kuwa chini ya mfumo wa utawala wa kifalme chini ya Uingereza.