Ticino ni moja ya majimbo yanayounda shirikisho la Uswisi.
Mji mkuu wake ni Bellinzona.
Wakazi wengi wanaongea Kiitalia na ni wafuasi wa Yesu Kristo katika Kanisa Katoliki.